logo ya gazeti la kikristo la nyakati tanzania

Msikiti wajengwa Kanisani Dar
Na Waandishi Wetu, Dedemba 7-13
TUKIO la kipekee zaidi nchini linalogusa vibaya mahusiano kati ya dini ya Kikristo na ya Kiislamu limetokea jijini Dar es Salaam. Tukio hilo ni la Waislamu kununua nyumba iliyokuwa usoni mwa kanisa moja la kilokole na kisha kuamua kujenga msikiti papo hapo, kiasi ambacho mapaa yanaweza hata kugusana.(Angalia pichani ukurasa wa kwanza).

Njoka la anguka Kanisani na kuleta kizaazaa
Mwandishi Wetu, Desemba 7-13
MOJA ya matukio ya kustaajabisha katika mwaka huu, linaweza kuwa hili la juzi tu ambapo joka moja kubwa lilianguka ghafla kwenye madhabahu ndani ya kanisa wakati mtumishi mmoja alipokuwa akihubiri. Habari kamili

Mgogoro KKKT Mwanga bado Mgumu
Mwandishi Wetu, Desemba 7-13
WAKATI suluhisho la mgogoro wa kudai dayosisi mpya ya Mwanga ya KKKT bado ni kitendawili, anayeongoza kundi linalodai dayosisi hiyo mpya, Askofu Abraham Msangi, amemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Kutafuta Mwafaka, awape haki yao ya msingi ya kumwabudu Mungu katika makanisa waliyoshiriki kuyajenga kwa kuwa kuwazuia ni kutojali mchango wao. Habari kamili

Mtoto aliyepooza mwaka mzima aponywa na Bwana Yesu
Na Mwandishi wetu, Desemba 7-13
MTOTO Mary Richard Salugole (6), ambaye alikuwa na maradhi ya kupooza kwa zaidi ya mwaka mmoja, amesema umefika wakati ambao wasioamini kuwa Yesu Kristo anaponya, waache ubishi ili wamwendee Yesu kama suluhisho pekee la matatizo yote yakiwemo maradhi. Habari kamili

Mchawi atangaza vita na mchungaji
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Oktoba 19 - 25
VITISHO dhidi ya watenda kazi wa Injili ya Yesu, vinavyofanyika duniani kote, vimeendelea kujitokeza na sasa wala si mbali tena ni hapa hapa nchini kwetu ambapo mchungaji mmoja wa kipentekoste ametishiwa kuuawa eti kwa kuwa anakwamisha biashara ya uchawi kwa kuwahubiria watu Injili hata wakaamua wasikanyage tena kwenye ushirikina. Habari kamili

Aliyempokea Yesu akatwa vipande vinne
Mwandishi wetu na Mashirika ya Habari Agosti 10 - 16
SERIKALI ya Israeli imeionya Syria na kutahadharisha kwamba imeipa kadi nyekundu na imeliagiza jeshi lake kuchunguza kwa makini nyenzo za nchi hiyo na kama itabainika kuwa ina dalili za kuhatarisha usalama wa taifa hilo takatifu, basi itakabiliwa na mashambulizi ya kijeshi Habari kamili

Copyright © 2003-2004 Nyakati